Maelezo ya Chini
a Neno “amiri” (kihalisi likimaanisha “mlinda-Ufalme”) hurejezea liwali aliyewekwa rasmi na mfalme wa Uajemi kutumikia akiwa mtawala mkuu katika wilaya ya utawala. Akiwa mwakilishi rasmi wa mfalme, alikuwa na daraka la kukusanya kodi na kulipa huo ushuru kwenye mahakama ya kifalme.