Maelezo ya Chini
a Baadaye mahubiri ya Martin Niemöller yalichapishwa katika Kiingereza katika kitabu kiitwacho Of Guilt and Hope. Hata hivyo, fasiri ya Kiingereza inatofautiana na maandishi-awali ya Kijerumani, kwa sababu hiyo, nukuu hili limetafsiriwa moja kwa moja kutoka Kijerumani.