Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

b Tafsiri ya neno “Mashahidi” kwenye Waebrania 12:1 latokana na neno la Kigiriki marʹtys. Kulingana na Wuest’s Word Studies From the Greek New Testament, neno hilo laonyesha “mmoja ashuhudiaye, au awezaye kushuhudia, yale ambayo ameona au kujua kwa njia nyingine yoyote ile.” Kichapo Christian Words, cha Nigel Turner, chasema kwamba hilo neno lamaanisha mtu asemaye “kutokana na mambo yaliyoonwa kibinafsi . . . , na kutokana na usadikisho juu ya kweli na maoni.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki