Maelezo ya Chini
a “Simulizi juu ya Malkia wa Sheba lakazia hekima ya Solomoni, na mara nyingi hadithi hiyo imeitwa hekaya (1 Fal. 10:1-13). Lakini muktadha waonyesha kwamba ziara yake kwa Solomoni ilihusiana kwa kweli na biashara na hivyo yaweza kueleweka; usahihi wayo wa kihistoria hauhitaji kushukiwa.”—The International Standard Bible Encyclopedia (1988), Buku IV, ukurasa 567.