Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Wakati mmoja Mnara wa Mlinzi (la Kiingereza) lilitoa maelezo haya yenye ufahamu wenye kina: “Hatupaswi kutumia vibaya uhai huu katika mambo ya ubatili . . . Ikiwa uhai ndio uu huu tu, hakuna jambo la maana. Uhai huu ni kama mpira utupwao hewani ambao waanguka upesi mavumbini tena. Ni kivuli kipitacho upesi, ua linalofifia, unyasi wa kukatwa na kunyauka upesi. . . . Kwenye kipimio cha umilele urefu wa uhai wetu ni chembe ya kupuuzwa. Huo hata si tone kubwa katika mkondo wa wakati. Kwa uhakika [Solomoni] asema kweli anapopitia mahangaiko na utendaji mwingi wa kibinadamu maishani na kuziita ubatili. Tunakufa upesi sana hivi kwamba yafaa tusingalizaliwa, mmojawapo mabilioni anayezaliwa na kufa, kukiwa na wachache sana wakijua kwamba tulipata kuwako. Maoni hayo si ya kudharau au ya kushusha moyo au ya majonzi au ya kuhuzunisha. Ni ya kweli, mambo ya hakika, maoni halisi, ikiwa uhai ndio uu huu tu.”—Agosti 1, 1957, ukurasa 472.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki