Maelezo ya Chini
a Yesu alikuwa mwenye moyo mkuu katika kushambulia biashara ya fedha yenye faida kama hiyo. Kulingana na mwanahistoria mmoja, ilikuwa lazima kodi ya hekalu ilipwe kwa sarafu hususa ya kale ya Kiyahudi. Hivyo watu wengi waliolizuru hekalu walilazimika kubadili fedha zao ili walipe hiyo kodi. Wabadili-fedha waliruhusiwa walipize ada iliyowekwa kwa ajili ya kubadili, nao walipata fedha nyingi.