Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

c Kikundi chao kilitokana na Wahasidimu, kikundi kilichotokea karne kadhaa mapema ili kushindana na uvutano wa Kigiriki. Wahasidimu walitwaa jina lao kutokana na neno la Kiebrania chasi·dhimʹ, linalomaanisha “wenye uaminifu-mshikamanifu” au “wachaji.” Labda walihisi kwamba maandiko yanayotaja “wenye uaminifu-mshikamanifu” wa Yehova yaliwahusu kwa njia fulani ya pekee. (Zaburi 50:5, NW) Wao, pamoja na Mafarisayo wa baada yao, walikuwa washupavu, walindaji wa herufi ya Sheria waliojiweka wenyewe rasmi.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki