Maelezo ya Chini
a Kwa mfano, katika Marekani, wengi huwa na bima ya afya, ingawa hiyo huelekea kuwa ghali sana. Baadhi ya familia za Mashahidi wameona kwamba madaktari huwa tayari sana kufikiria vibadala vya damu familia zinapokuwa na bima za afya. Matabibu wengi hukubali kiwango cha malipo kilichokubaliwa chini ya mipango ya bima au bima ya serikali ya afya isiyokuwa ya juu sana.