Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

b Mazungumzo haya yakazia fikira lugha zenye uwezo wa kufanya hilo suala liwe wazi lakini ambazo katika hizo watafsiri huchagua kutofanya hivyo. Msamiati upatikanao huwekea mipaka sana yale ambayo watafsiri wanaweza kufanya katika lugha fulani-fulani. Basi, wafunzi wa kidini wenye kufuatia haki wataeleza kwamba hata ingawa mtafsiri alitumia unamna-namna wa maneno au hata ikiwa alitumia neno lenye vidokezo visivyo vya kimaandiko, neno la lugha ya awali, neʹphesh, hutumiwa kwa wanadamu na wanyama na huwakilisha kitu ambacho hupumua, hula, na kinachoweza kufa.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki