Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

b Wakati wa kifungo chake cha pili katika Roma, Paulo alimwomba Timotheo alete “hati-kunjo, hasa zile hati za ngozi.” (2 Timotheo 4:13) Labda Paulo alikuwa akimwomba alete sehemu za Maandiko ya Kiebrania ili aweze kuyachunguza alipokuwa gerezani. Fungu la maneno “hasa zile hati za ngozi” huenda likaonyesha kwamba hati-kunjo za mafunjo na nyingine za ngozi zilihusika.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki