Maelezo ya Chini
a Yosefo aliripoti kwamba punde baada ya Festo kufa, Ananus (Anania) wa farakano la Masadukayo alipata kuwa kuhani wa cheo cha juu. Alimleta Yakobo ndugu nusu ya Yesu, na wanafunzi wengine mbele ya Sanhedrini na kuwafanya wahukumiwe kifo na kupigwa mawe.