Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Ingawa yaonekana kwamba yule mkosaji katika Korintho alirudishwa katika muda mfupi kwa kulinganisha, jambo hilo halipasi kutumiwa kuwa kigezo cha kuamua visa mbalimbali vya kutenga na ushirika. Kila kisa ni tofauti. Wakosaji fulani huanza kuonyesha toba ya kweli mara tu baada ya kuondoshwa. Inawachukua wengine muda mrefu kabla ya kudhihirisha mtazamo kama huo. Hata hivyo, katika visa vyote, ni lazima wale wanaorudishwa wathibitishe kuwa na huzuni ya kimungu na iwezekanapo, ni lazima wadhihirishe kazi zinazofaa toba.—Matendo 26:20; 2 Wakorintho 7:11.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki