Maelezo ya Chini
a Wagalatia 2:3 humfafanua Tito kuwa Mgiriki (Helʹlen). Huenda hilo likamaanisha kwamba alikuwa wa nasaba ya Kigiriki. Hata hivyo, yadaiwa kwamba baadhi ya waandishi Wagiriki walitumia namna ya wingi (Helʹle·nes) katika kuwarejezea wasio Wagiriki ambao walikuwa Wagiriki kuhusiana na lugha na utamaduni. Yawezekana kwamba Tito alikuwa Mgiriki katika maana hiyo.