Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

b Baada ya makala hiyo yenye uchongezi kuchapishwa katika gazeti la habari la Urusi (lililotajwa katika fungu la 15), Mashahidi wa Yehova walikata rufani kwa baraza la sheria liitwalo Russian Federation Presidential Judicial Chamber for Media Disputes wakiomba mashtaka hayo yasiyo ya kweli ambayo yaliandikwa katika makala hiyo yachunguzwe tena. Hivi majuzi mahakama ilitoa uamuzi ulioliadhibu vikali gazeti hilo la habari kwa kuchapa makala hiyo yenye kukashifu.—Ona Amkeni!, Novemba 22, 1998, ukurasa wa 26-27.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki