Maelezo ya Chini
c Neno Aggadah (wingi aggadot) kihalisi lamaanisha “masimulizi” nalo hurejezea sehemu muhimu zisizo za kisheria katika maandishi ya kirabi, nyakati nyingine yakihusisha ngano zisizo za Kibiblia za wahusika wa Kibiblia, au hekaya kuhusu marabi.