Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

b Msomi Mwingereza G. R. Beasley-Murray asema hivi: “Fungu ‘kizazi hiki’ halipaswi kusababisha ugumu wowote kwa wafasiri. Ingawa ni kweli kwamba neno genea katika Kigiriki cha mapema lilimaanisha uzazi, uzao, na kwa hivyo jamii, . . . hilo mara nyingi lilitumiwa katika [Septuagint ya Kigiriki] kutafsiri neno la Kiebrania dôr, linalomaanisha umri, umri wa jamii ya kibinadamu, au kizazi katika maana ya watu walioishi wakati mmoja. . . . Katika maneno ya Yesu, neno hilo laonekana kuwa ladokeza maana mbili: kwa upande mmoja sikuzote hilo linamaanisha watu walioishi wakati mmoja naye, na kwa upande mwingine linamaanisha ule unaoeleweka kuwa uchambuzi.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki