Maelezo ya Chini
a “Bendera za Waroma zilipewa ulinzi na heshima ya kiibada katika mahekalu huko Roma; na heshima hii ya kiibada ya watu hao kwa bendera zao ililingana na ushindi wao juu ya mataifa mengine . . . [Kwa wanajeshi, bendera hiyo] labda ilikuwa ndicho kitu kitakatifu zaidi duniani. Mwanajeshi Mroma aliapa kwa bendera yake.”—The Encyclopædia Britannica, Chapa ya 11.