Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Akirejezea mambo yaliyompata katika kambi za mateso za Nazi, Dakt. Viktor E. Frankl alitambua hivi: “Hali ya binadamu ya kutafuta maana ni nguvu ya msingi katika maisha yake wala si ‘kufikiri tu’ kunakoongozwa na silika,” kama wanyama. Pia alisema kwamba miaka mingi baada ya vita ya pili ya ulimwengu, uchunguzi uliofanywa nchini Ufaransa “ulionyesha kuwa asilimia 89 ya watu waliohojiwa walikubali kwamba binadamu ahitaji ‘kitu’ cha kumpa kusudi maishani.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki