Maelezo ya Chini
a Alipokuwa mhariri mkuu wa The Catholic Biblical Quarterly, msomi mmoja Myesuiti M. J. Gruenthaner alisema kwamba kitenzi hiki kinahusishwa na maneno yanayohusu kitenzi kinachofanana nacho, ya kwamba “hakidokezi kamwe wazo la kuwapo kwa njia ya kuwaziwa tu bali sikuzote kitenzi hicho humaanisha kuwapo halisi au kufahamiwa, yaani kujidhihirisha kwa njia thabiti.”