Maelezo ya Chini
a Mishnah ni mkusanyo wa maelezo ambayo ni nyongeza ya sheria ya Kimaandiko, yanayotegemea maelezo ya marabi waitwao Tannaim (walimu). Yalikusanywa katika maandishi mwishoni mwa karne ya pili na mwanzoni mwa karne ya tatu W.K.