Maelezo ya Chini
a Msomi mmoja asema kwamba neno la kitamathali la Kiebrania lililotumiwa katika Mika 7:18 “limetokana na tabia ya msafiri ambaye anapita bila kuona kitu ambacho hataki kukifikiria. Halimaanishi kwamba Mungu haoni dhambi, wala kwamba anaiona kuwa jambo dogo au lisilo muhimu, bali kwamba haioni katika visa fulani hususa ili atoe adhabu; kwamba hatoi adhabu, bali asamehe.”—Waamuzi 3:26; 1 Samweli 16:8.