Maelezo ya Chini
b Masuala ya kibiashara au ya kifedha yanayohusisha kadiri fulani ya udanganyi, upunjaji, au ujanja yanaweza kutiwa miongoni mwa dhambi ambayo Yesu alimaanisha. Hilo ladokezwa na jambo la kwamba baada ya kutoa mwelekezo uliorekodiwa kwenye Mathayo 18:15-17, Yesu alitoa kielezi cha watumwa (waajiriwa) ambao walikuwa na deni, wakashindwa kulipa.