Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Paulo alinukuu tafsiri ya Septuagint ya Habakuki 2:4, ambayo imetia ndani maneno “ikiwa yeyote arudi nyuma, nafsi yangu haina upendezi katika yeye.” Taarifa hiyo haionekani katika hati-kunjo za Kiebrania zilizoko. Wengine wamedokeza kwamba Septuagint hiyo ilitegemea hati-kunjo za zamani za Kiebrania ambazo hazipo wakati huu. Hata hivyo, Paulo aliongozwa na roho ya Mungu kutumia maneno haya hapa. Kwa hiyo Mungu ameyakubali maneno hayo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki