Maelezo ya Chini
b Mara ya mwisho ambapo Yosefu anatajwa moja kwa moja ni wakati Yesu mwenye umri wa miaka 12 alipopatikana hekaluni. Yosefu hatajwi kuwapo kwenye sherehe ya arusi kule Kana, mwanzoni mwa huduma ya Yesu. (Yohana 2:1-3) Mwaka wa 33 W.K., Yesu aliyetundikwa mtini alimkabidhi Maria kwa mtume mpendwa Yohana ili amtunze. Yaelekea Yesu hangalifanya hivyo kama Yosefu angalikuwa bado hai.—Yohana 19:26, 27.