Maelezo ya Chini
b Lugha ya Kiebrania haina irabu. Irabu huingizwa na msomaji kulingana na muktadha. Muktadha ukipuuzwa, maana ya neno yaweza kubadilishwa kabisa kwa kuingiza irabu tofauti. Kiingereza kina irabu zisizobadilika, jambo linalofanya uchunguzi kama huo uwe mgumu sana.