Maelezo ya Chini
b Pasipo shaka kuna tofauti kati ya rushwa na bahashishi. Rushwa hutolewa ili kupotoa haki au kwa makusudi mengine mapotovu, lakini bahashishi ni shukrani kwa utumishi uliotolewa. Hayo yameelezwa kwenye “Maswali Kutoka kwa Wasomaji” katika toleo la Oktoba 1, 1986, la Mnara wa Mlinzi.