Maelezo ya Chini
b Ndugu walio katika HLC huwakilisha Mashahidi wa Yehova ulimwenguni kote, wakisaidia katika mawasiliano baina ya wagonjwa na wafanyakazi wa hospitali. Wao pia hutoa habari kuhusu matibabu ya badala yanayotegemea utafiti wa karibuni zaidi wa kitiba.