Maelezo ya Chini
b Neno “-a Kislavonia,” kama linavyotumiwa katika makala hii, ladokeza lahaja ya Kislavonia ambayo Cyril na Methodius walitumia katika kazi yao na uandishi wao. Leo watu fulani hutumia semi “Kislavonia cha Zamani” au “Kislavonia cha Zamani cha Kanisa.” Wataalamu wa lugha hukubali kwamba katika karne ya tisa W.K., Waslavonia wote hawakuzungumza lugha moja.