Maelezo ya Chini
a Wanawake wengine ni kama wajane kwa sababu waliachwa na waume zao. Ingawa talaka na kutengana husababisha matatizo yasiyo na kifani, kanuni kadhaa zinazotajwa katika makala ifuatayo zaweza kusaidia pia wanawake wanaokabili hali hizo.