Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Miti hiyo haikupaswa kutolewa kwenye vikuku hivyo hata wakati Sanduku la Agano lilipokuwa ndani ya tabenakulo. Kwa sababu hiyo, miti hiyo haingeweza kutumiwa kwa kusudi lingine lolote. Pia Sanduku la Agano halikupaswa kuguswa; ikiwa miti hiyo ingetolewa kwenye vikuku, kila mara liliposafirishwa, basi ingebidi wenye kulisafirisha waguse Sanduku la Agano ili kuingiza tena miti hiyo kwenye vikuku. Taarifa inayopatikana katika andiko la Hesabu 4:6 kuhusu “kuitia ile miti” huenda inarejezea kupanga au kurekebisha ile miti wakati wa kujitayarisha kubeba sanduku hilo zito kwenda kituo kingine.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki