Maelezo ya Chini
a Baadhi ya watu wazima huacha kuhofu hatari kwa sababu kazi yao huwafanya wakabili hatari daima. Alipoulizwa ni kwa nini maseremala wengi hawana kidole kimoja, seremala mmoja ambaye amefanya kazi hiyo kwa muda mrefu alijibu hivi bila kusita: “Wao huacha kuhofu misumeno ya umeme inayokwenda kwa kasi.”