Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

b Yehova mwenyewe huchukizwa kabisa na maovu. Kwa mfano, andiko la Waefeso 4:29 linafafanua lugha mbaya kuwa “usemi uliooza.” Neno la Kigiriki “-liooza” larejezea kihalisi tunda, samaki, au nyama iliyooza. Neno hilo linaonyesha kinaganaga jinsi tunavyopaswa kuhisi kuhusu lugha chafu au ya matusi. Vivyo hivyo, katika Maandiko mara nyingi sanamu zinaitwa “mavi.” (Kumbukumbu la Torati 29:17; Ezekieli 6:9, NW) Kama vile tunavyochukia kabisa mavi au kinyesi, ndivyo Mungu anavyochukia kabisa kila namna ya ibada ya sanamu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki