Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Haielekei kwamba mtu aliyekuwa mwenye shukrani na mnyenyekevu kama Mefiboshethi angepanga njama kama hiyo kwa kujitakia makuu. Inaelekea alijua sifa ya uaminifu ya babake Yonathani. Ingawa alikuwa mtoto wa Mfalme Sauli, Yonathani alitambua kwa unyenyekevu kwamba Daudi alikuwa amechaguliwa na Yehova kuwa mfalme wa Israeli. (1 Samweli 20:12-17) Yonathani hangemfunza mwanawe mchanga kutamani mamlaka ya kifalme kwa kuwa alikuwa mzazi aliyemhofu Mungu na rafiki mwaminifu-mshikamanifu wa Daudi.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki