Maelezo ya Chini
b Mapema mwaka wa 1199, askofu wa Metz, jiji lililoko kaskazini mashariki mwa Ufaransa, alimlalamikia Papa Innocent wa Tatu kwamba watu fulani walikuwa wakisoma na kujadili Biblia katika lugha yao. Ni wazi kwamba askofu huyo alikuwa akizungumza kuhusu Wawaldo.