Maelezo ya Chini
a Wawaldo walipewa jina la Pierre Vaudès, au Peter Waldo, mfanyabiashara wa karne ya 12 aliyeishi Lyons, Ufaransa. Waldo alitengwa na ushirika wa Kanisa Katoliki kwa sababu ya imani yake. Kwa habari zaidi kuhusu Wawaldo, ona makala “Wawaldo—Waacha Uzushi na Kuwa Waprotestanti” katika gazeti Mnara wa Mlinzi la Machi 15, 2002.