Maelezo ya Chini
a Desturi ya kuwa na masuria ilikuwako kabla ya agano la Sheria nayo iliruhusiwa na kufanywa chini ya Sheria. Mungu aliwalinda masuria kulingana na Sheria kwani wakati wa kurudisha kiwango chake alichoanzisha katika shamba la Edeni cha kuoa mke mmoja haukuwa umefika mpaka wakati Yesu Kristo angekuja. Bila shaka desturi hiyo ilisaidia kuongeza idadi ya Waisraeli upesi.