Maelezo ya Chini
d Wayahudi walitakiwa kulipa kodi ya hekalu ya drakma mbili (karibu mshahara wa siku mbili) kila mwaka. Pesa hizo zilitumiwa kurekebisha hekalu, kwa utumishi uliofanywa huko, na kwa dhabihu za kila siku zilizotolewa kwa niaba ya taifa hilo.