Maelezo ya Chini
a Inaelekea barua ya Waebrania iliandikwa mwaka wa 61 W.K. Ikiwa ndivyo, basi Yerusalemu lilizingirwa na majeshi ya Cestius Gallus miaka mitano tu baadaye. Lakini upesi majeshi hayo yakaondoka, na Wakristo waliokuwa macho wakatoroka. Miaka minne baadaye, jiji hilo likaharibiwa na majeshi ya Roma yakiongozwa na Jenerali Tito.