Maelezo ya Chini
a Hekalu hilo lilibomolewa kabisa na Waroma. Ukuta wa Kilio, ambapo Wayahudi wengi kutoka sehemu za mbali huja kusali, si sehemu ya hekalu hilo. Ni sehemu ya ukuta wa ua wa hekalu.