Maelezo ya Chini
a Hii ni sababu moja inayofanya Waarmenia wahusianishe nchi yao na Mlima Ararati. Zamani, nchi ya Armenia ilikuwa milki kubwa ambayo ilitia ndani milima hiyo. Hivyo, kwenye Isaya 37:38, Biblia ya Kigiriki ya Septuagint hutafsiri jina “nchi ya Ararati” kuwa “Armenia.” Sasa Mlima Ararati uko Uturuki karibu na mpaka wake wa mashariki.