Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

b Ijapokuwa kuna maoni yanayotofautiana, wataalamu fulani wanatambua hekalu la Dagani kuwa ndilo hekalu la mungu Eli. Roland de Vaux, msomi wa Biblia Mfaransa katika Shule ya Yerusalemu ya Mafunzo ya Biblia, anasema kwamba Dagani, yaani Dagoni wa kitabu cha Waamuzi 16:23 na 1 Samweli 5:1-5 ni jina la kibinafsi la mungu Eli. Kitabu The Encyclopedia of Religion kinatoa maelezo haya: “Dagani alikuwa akishirikishwa au kufananishwa na [Eli].” Katika maandishi ya Ras Shamra, Baali anaitwa mwana wa Dagani, lakini maana ya neno “mwana” hapa si hakika.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki