Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Katika barua yake ya Novemba 20, 1861, aliyoandikia kiwanda cha kutengeneza pesa cha Marekani, Waziri wa Fedha, Salmon P. Chase alisema: “Hakuna taifa linaloweza kuwa na nguvu bila kutegemea nguvu za Mungu, au kuwa salama pasipo ulinzi Wake. Tunapaswa kuonyesha kwenye sarafu za taifa letu kwamba raia zetu wanamtumaini Mungu.” Kwa hiyo, ule wito “In God We Trust” ulionekana mara ya kwanza katika sarafu ya Marekani mwaka wa 1864.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki