Maelezo ya Chini
c Miongozo hiyo minane ni: (1) Usiwe na hofu kuu; (2) fikiria kwa mwelekeo mzuri; (3) fungulia akili yako aina mpya za kazi; (4) ishi kwa mapato yako mwenyewe—si ya mwingine; (5) uwe mwangalifu na mkopo; (6) endeleza umoja katika familia; (7) endelea kujistahi; na (8) panga bajeti.