Maelezo ya Chini
a Visima fulani huko Israeli vilikuwa virefu sana. Huko Gibeoni waakiolojia waligundua tangi kubwa lenye urefu wa meta 25 hivi. Lilikuwa na ngazi iliyowawezesha watu kuteremka mpaka chini ili kuteka maji.