Maelezo ya Chini
a Pindi hiyo inafanana na wakati Rebeka, mama yake Yakobo, alipowanywesha ngamia wa Eliezeri. Kisha Rebeka alikimbia nyumbani na kutoa habari kuhusu kufika kwa mgeni. Labani alipoona vitu vya dhahabu ambavyo dada yake alipewa kama zawadi, akakimbia kumlaki Eliezeri.—Mwanzo 24:28-31, 53.