Maelezo ya Chini
a Jina hili linatokana na neno la Kilatini utraque, linalomaanisha “vyote viwili.” Tofauti na makasisi Wakatoliki ambao waliwanyima watu wa kawaida divai wakati wa Ekaristi, kikundi hicho (yaani, mojawapo ya vikundi mbalimbali vya wafuasi wa Hus waliogawanyika), kiliwapa watu mkate na divai.