Maelezo ya Chini
b Kwenye mashimo ya volkeno ya Rano Raraku, kuna michoro mingi kwenye mawe. Hapa ndipo mashindano kati ya wale waliotaka kutawala kisiwa hicho yalipoanzia. Mashindano hayo yalihusisha kuteremka mteremko mkali, kuogolea hadi kwenye mojawapo ya visiwa vidogo, kuchukua yai la ndege wa kisiwani humo, kuogelea na kurudi kwenye kisiwa kikuu, kisha kupanda na yai hilo bila kilivunja.