Maelezo ya Chini
c Nebrija anadhaniwa kuwa wa kwanza kati ya wanafunzi wa Hispania wa elimu ya ubinadamu (wasomi wenye mawazo huru). Mnamo 1492 alichapisha kitabu cha kwanza cha Gramática castellana (Sarufi ya Lugha ya Castilia). Miaka mitatu baadaye, aliamua kutumia maisha yake yote kuchunguza Maandiko Matakatifu.