Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Katika Maandiko, neno “chuki” lina maana mbalimbali. Katika hali fulani, neno hilo humaanisha tu kutopenda sana. (Kumbukumbu la Torati 21:15, 16) Pia, neno “chuki” linaweza kumaanisha kutopenda kitu hata kidogo lakini bila kuwa na nia ya kukidhuru, badala yake kujaribu kukiepuka kwa sababu ya kukichukia. Hata hivyo, neno “chuki” linaweza pia kumaanisha uadui mkubwa, unaoendelea kwa muda mrefu na ambao mara nyingi huhusisha uovu. Katika makala hii, tutazungumzia maana hii ya mwisho.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki