Maelezo ya Chini
a Manukuu katika fungu hili na lile lifuatalo yanaonyesha desturi katika nchi fulani ambako familia ya bibi-arusi inatarajiwa kulipa mahari au kutoa zawadi kwa familia ya bwana-arusi. Katika tamaduni nyingi za Afrika mwanamume au familia yake ndio hutarajiwa kulipa mahari na kutoa zawadi kwa familia ya bibi-arusi. Hata hivyo, kanuni zinazotajwa zinaweza kutumika pande zote mbili.